Native Bible

Hebrews 5:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tunayo mengi ya kusema kuhusu habari ya ukuhani huu, lakini ni vigumu kuyaeleza, kwa sababu ninyi ni wazito wa kuelewa.

Hebrews 5:11 in English

Hebrews 5:11 · Berean Standard Bible

We have much to say about this, but it is hard to explain, because you are dull of hearing.

Context

9na akiisha kukamilishwa, akawa chanzo cha wokovu wa milele kwa wote wanaomtii. 10Naye amewekwa na Mungu kuwa Kuhani Mkuu kwa mfano wa Melkizedeki. 11Tunayo mengi ya kusema kuhusu habari ya ukuhani huu, lakini ni vigumu kuyaeleza, kwa sababu ninyi ni wazito wa kuelewa. 12Kwa hakika, ingawa mpaka wakati huu ingewapasa kuwa walimu, bado mnahitaji mtu wa kuwafundisha tena hatua za awali za kweli ya Neno la Mungu. Mnahitaji maziwa, wala si chakula kigumu! 13Kwa maana yeyote aishiye kwa kunywa maziwa bado yeye ni mtoto mchanga, hana ujuzi katika mafundisho kuhusu neno la haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.