Waebrania 1:13
Hebrews 1:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, ni kwa malaika yupi ambaye Mungu amepata kumwambia wakati wowote, “Keti mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako”?
Hebrews 1:13 in English
Hebrews 1:13 · Berean Standard Bible
Yet to which of the angels did God ever say: “Sit at My right hand until I make Your enemies a footstool for Your feet”*?
Context
11Hizo zitatoweka, lakini wewe utadumu;
zote zitachakaa kama vazi. 12Utazikungʼutakungʼuta kama joho,
nazo zitachakaa kama vazi.
Lakini wewe hubadiliki,
nayo miaka yako haikomi kamwe.” 13Je, ni kwa malaika yupi ambaye Mungu amepata kumwambia wakati wowote,
“Keti mkono wangu wa kuume,
hadi nitakapowaweka adui zako
chini ya miguu yako”? 14Je, malaika wote si roho watumikao, waliotumwa kuwahudumia wale watakaourithi wokovu?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.