Native Bible

Hebrews 1:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hizo zitatoweka, lakini wewe utadumu; zote zitachakaa kama vazi.

Hebrews 1:11 in English

Hebrews 1:11 · Berean Standard Bible

They will perish, but You remain; they will all wear out like a garment.

Context

9Umependa haki na kuchukia uovu; kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekuweka juu ya wenzako kwa kukupaka mafuta ya furaha.” 10Pia asema, “Hapo mwanzo, Ee Bwana, uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. 11Hizo zitatoweka, lakini wewe utadumu; zote zitachakaa kama vazi. 12Utazikungʼutakungʼuta kama joho, nazo zitachakaa kama vazi. Lakini wewe hubadiliki, nayo miaka yako haikomi kamwe.” 13Je, ni kwa malaika yupi ambaye Mungu amepata kumwambia wakati wowote, “Keti mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako”?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.