Native Bible

Habakkuk 1:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Adui mwovu anawavuta wote kwa ndoana, anawakamata katika wavu wake, anawakusanya katika juya lake; kwa hiyo anashangilia na anafurahi.

Habakkuk 1:15 in English

Habakkuk 1:15 · Berean Standard Bible

The foe pulls all of them up * with a hook; he catches them in his dragnet, and gathers them in his fishing net; so he rejoices gladly.

Context

13Macho yako ni safi mno hata yasiweze kuutazama uovu, wala huwezi kuvumilia makosa. Kwa nini basi unawavumilia wadanganyifu? Kwa nini unakuwa kimya wakati waovu wanawameza wale wenye haki kuliko wao wenyewe? 14Umewafanya watu kama samaki baharini, kama viumbe wa bahari wasio na mtawala. 15Adui mwovu anawavuta wote kwa ndoana, anawakamata katika wavu wake, anawakusanya katika juya lake; kwa hiyo anashangilia na anafurahi. 16Kwa hiyo anatoa kafara kwa wavu wake, na kuchoma uvumba kwa juya lake, kwa kuwa kwa wavu wake anaishi kwa starehe, na anafurahia chakula kizuri. 17Je, aendelee kuwatoa walio katika wavu wake, akiangamiza mataifa bila huruma?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.