Native Bible

Genesis 9:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alipokunywa huo mvinyo wake akalewa na akalala uchi kwenye hema lake.

Genesis 9:21 in English

Genesis 9:21 · Berean Standard Bible

But when he drank some of its wine, he became drunk and uncovered himself inside his tent.

Context

19Hawa ndio waliokuwa wana watatu wa Noa, kutokana nao watu walienea katika dunia. 20Noa akawa mkulima, akawa mtu wa kwanza kupanda mizabibu. 21Alipokunywa huo mvinyo wake akalewa na akalala uchi kwenye hema lake. 22Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake na kuwaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje. 23Lakini Shemu na Yafethi wakachukua nguo wakaitanda mabegani mwao wote wawili, kisha wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao. Nyuso zao zilielekea upande mwingine ili wasiuone uchi wa baba yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.