Mwanzo 9:19
Genesis 9:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hawa ndio waliokuwa wana watatu wa Noa, kutokana nao watu walienea katika dunia.
Genesis 9:19 in English
Genesis 9:19 · Berean Standard Bible
These three were the sons of Noah, and from them the whole earth was populated.
Context
17Hivyo Mungu akamwambia Noa, “Hii ndiyo ishara ya Agano ambalo nimelifanya kati yangu na viumbe vyote vilivyo hai duniani.” 18Wana wa Noa waliotoka ndani ya safina ni: Shemu, Hamu na Yafethi. (Hamu ndiye alikuwa baba wa Kanaani.) 19Hawa ndio waliokuwa wana watatu wa Noa, kutokana nao watu walienea katika dunia. 20Noa akawa mkulima, akawa mtu wa kwanza kupanda mizabibu. 21Alipokunywa huo mvinyo wake akalewa na akalala uchi kwenye hema lake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.