Native Bible

Genesis 7:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jozi ya wanyama walio safi na walio najisi, ndege na viumbe vitambaavyo,

Genesis 7:8 in English

Genesis 7:8 · Berean Standard Bible

The clean and unclean animals, the birds, and everything that crawls along the ground

Context

6Noa alikuwa na miaka 600 gharika ilipokuja juu ya dunia. 7Noa na mkewe na wanawe na wake zao wakaingia katika safina ili waepuke ile gharika. 8Jozi ya wanyama walio safi na walio najisi, ndege na viumbe vitambaavyo, 9wa kiume na wa kike, walikuja kwa Noa wakaingia katika safina kama Mungu alivyomwamuru Noa. 10Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaja juu ya dunia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.