Native Bible

Genesis 7:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Noa alikuwa na miaka 600 gharika ilipokuja juu ya dunia.

Genesis 7:6 in English

Genesis 7:6 · Berean Standard Bible

Now Noah was 600 years old when the floodwaters came upon the earth.

Context

4Siku saba kuanzia sasa nitaleta mvua juu ya nchi kwa siku arobaini usiku na mchana, nami nitafutilia mbali kutoka uso wa nchi kila kiumbe hai nilichokiumba.” 5Noa akafanya yote kama Bwana alivyomwamuru. 6Noa alikuwa na miaka 600 gharika ilipokuja juu ya dunia. 7Noa na mkewe na wanawe na wake zao wakaingia katika safina ili waepuke ile gharika. 8Jozi ya wanyama walio safi na walio najisi, ndege na viumbe vitambaavyo,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.