Native Bible

Genesis 7:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Noa akafanya yote kama Bwana alivyomwamuru.

Genesis 7:5 in English

Genesis 7:5 · Berean Standard Bible

And Noah did all that the LORD had commanded him.

Context

3Pia uchukue ndege saba walio safi wa kila aina, wa kiume na wa kike, ili kuhifadhi aina zao mbalimbali katika dunia yote. 4Siku saba kuanzia sasa nitaleta mvua juu ya nchi kwa siku arobaini usiku na mchana, nami nitafutilia mbali kutoka uso wa nchi kila kiumbe hai nilichokiumba.” 5Noa akafanya yote kama Bwana alivyomwamuru. 6Noa alikuwa na miaka 600 gharika ilipokuja juu ya dunia. 7Noa na mkewe na wanawe na wake zao wakaingia katika safina ili waepuke ile gharika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.