Native Bible

Genesis 7:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaja juu ya dunia.

Genesis 7:10 in English

Genesis 7:10 · Berean Standard Bible

And after seven days the floodwaters came upon the earth.

Context

8Jozi ya wanyama walio safi na walio najisi, ndege na viumbe vitambaavyo, 9wa kiume na wa kike, walikuja kwa Noa wakaingia katika safina kama Mungu alivyomwamuru Noa. 10Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaja juu ya dunia. 11Katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa pili mwaka wa 600 wa kuishi kwake Noa, siku hiyo ndipo chemchemi zote hata zilizo chini sana ya ardhi zilibubujika kwa nguvu, na malango ya mafuriko ya mbinguni yakafunguliwa. 12Mvua ikanyesha juu ya nchi siku arobaini usiku na mchana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.