Native Bible

Genesis 7:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kila kiumbe juu ya nchi kavu chenye pumzi ya uhai kikafa.

Genesis 7:22 in English

Genesis 7:22 · Berean Standard Bible

Of all that was on dry land, everything that had the breath of life in its nostrils died.

Context

20Maji yakaendelea kujaa yakaifunika milima kwa kina cha zaidi ya dhiraa kumi na tano.* 21Kila kiumbe hai kitambaacho juu ya nchi kikaangamia: Ndege, wanyama wa kufugwa, wanyama pori, viumbe vyote juu ya nchi na wanadamu wote. 22Kila kiumbe juu ya nchi kavu chenye pumzi ya uhai kikafa. 23Kila kitu chenye uhai juu ya uso wa nchi kilifutiliwa mbali, watu, wanyama, viumbe vitambaavyo na ndege warukao angani wakafutiliwa mbali toka duniani. Waliobaki ni Noa peke yake na wale waliokuwa pamoja naye ndani ya safina. 24Maji yakaifunika dunia kwa siku 150.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.