Mwanzo 7:20
Genesis 7:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Maji yakaendelea kujaa yakaifunika milima kwa kina cha zaidi ya dhiraa kumi na tano.*
Genesis 7:20 in English
Genesis 7:20 · Berean Standard Bible
The waters rose and covered the mountaintops to a depth of fifteen cubits.*
Context
18Maji yakajaa na kuongezeka sana juu ya nchi, na safina ikaelea juu ya uso wa maji. 19Maji yakazidi kujaa juu ya nchi, yakaifunika milima yote mirefu chini ya mbingu yote. 20Maji yakaendelea kujaa yakaifunika milima kwa kina cha zaidi ya dhiraa kumi na tano.* 21Kila kiumbe hai kitambaacho juu ya nchi kikaangamia: Ndege, wanyama wa kufugwa, wanyama pori, viumbe vyote juu ya nchi na wanadamu wote. 22Kila kiumbe juu ya nchi kavu chenye pumzi ya uhai kikafa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.