Native Bible

Genesis 7:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maji yakaifunika dunia kwa siku 150.

Genesis 7:24 in English

Genesis 7:24 · Berean Standard Bible

And the waters prevailed upon the earth for 150 days.

Context

22Kila kiumbe juu ya nchi kavu chenye pumzi ya uhai kikafa. 23Kila kitu chenye uhai juu ya uso wa nchi kilifutiliwa mbali, watu, wanyama, viumbe vitambaavyo na ndege warukao angani wakafutiliwa mbali toka duniani. Waliobaki ni Noa peke yake na wale waliokuwa pamoja naye ndani ya safina. 24Maji yakaifunika dunia kwa siku 150.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.