Native Bible

Genesis 6:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Noa akafanya kila kitu kama vile Mungu alivyomwamuru.

Genesis 6:22 in English

Genesis 6:22 · Berean Standard Bible

So Noah did everything precisely as God had commanded him.

Context

20Wawili wa kila aina ya ndege, wa kila aina ya mnyama na wa kila aina ya kitambaacho ardhini watakuja kwako ili wahifadhiwe hai. 21Utachukua kila aina ya chakula kitakacholiwa, na ukiweke akiba kama chakula kwa ajili yako na yao.” 22Noa akafanya kila kitu kama vile Mungu alivyomwamuru.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.