Mwanzo 6:21
Genesis 6:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Utachukua kila aina ya chakula kitakacholiwa, na ukiweke akiba kama chakula kwa ajili yako na yao.”
Genesis 6:21 in English
Genesis 6:21 · Berean Standard Bible
You are also to take for yourself every kind of food that is eaten and gather it as food for yourselves and for the animals.”
Context
19Utaingiza ndani ya Safina kila aina ya kiumbe hai wawili wawili, wa kiume na wa kike, ili kuwahifadhi hai pamoja na wewe. 20Wawili wa kila aina ya ndege, wa kila aina ya mnyama na wa kila aina ya kitambaacho ardhini watakuja kwako ili wahifadhiwe hai. 21Utachukua kila aina ya chakula kitakacholiwa, na ukiweke akiba kama chakula kwa ajili yako na yao.” 22Noa akafanya kila kitu kama vile Mungu alivyomwamuru.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.