Native Bible

Genesis 45:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akaagana na ndugu zake walipokuwa wakiondoka, akawaambia, “Msigombane njiani!”

Genesis 45:24 in English

Genesis 45:24 · Berean Standard Bible

Then Joseph sent his brothers on their way, and as they were leaving, he said to them, “Do not quarrel on the way!”

Context

22Kila mmoja mavazi mapya, lakini Benyamini akampa shekeli 300* za fedha, na jozi tano za nguo. 23Hivi ndivyo vitu alivyotuma kwa baba yake: punda kumi waliochukua vitu vizuri vya Misri, punda wake kumi waliobeba nafaka, mikate na mahitaji mengine ya safari. 24Akaagana na ndugu zake walipokuwa wakiondoka, akawaambia, “Msigombane njiani!” 25Basi wakatoka Misri na kufika kwa baba yao Yakobo katika nchi ya Kanaani. 26Wakamwambia baba yao, “Yosefu angali hai! Ukweli ni kwamba yeye ndiye mtawala wa Misri yote.” Yakobo akapigwa na bumbuazi; hakuwasadiki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.