Native Bible

Genesis 45:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kila mmoja mavazi mapya, lakini Benyamini akampa shekeli 300* za fedha, na jozi tano za nguo.

Genesis 45:22 in English

Genesis 45:22 · Berean Standard Bible

He gave new garments to each of them, but to Benjamin he gave three hundred shekels of silver * and five sets of clothes.

Context

20Msijali kamwe kuhusu mali zenu, kwa sababu mema yote ya Misri yatakuwa yenu.’ ” 21Hivyo wana wa Israeli wakafanya hivyo. Yosefu akawapa magari ya kukokotwa, kama Farao alivyoagiza, pia akawapa mahitaji kwa ajili ya safari yao. 22Kila mmoja mavazi mapya, lakini Benyamini akampa shekeli 300* za fedha, na jozi tano za nguo. 23Hivi ndivyo vitu alivyotuma kwa baba yake: punda kumi waliochukua vitu vizuri vya Misri, punda wake kumi waliobeba nafaka, mikate na mahitaji mengine ya safari. 24Akaagana na ndugu zake walipokuwa wakiondoka, akawaambia, “Msigombane njiani!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.