Native Bible

Genesis 42:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati Yakobo alipofahamu kuwa kuna nafaka huko Misri, akawaambia wanawe, “Mbona mnakaa tu hapa mnatazamana?”

Genesis 42:1 in English

Genesis 42:1 · Berean Standard Bible

When Jacob learned that there was grain in Egypt, he said to his sons, “Why are you staring at one another?”

Context

1Wakati Yakobo alipofahamu kuwa kuna nafaka huko Misri, akawaambia wanawe, “Mbona mnakaa tu hapa mnatazamana?” 2Akaendelea kuwaambia, “Nimesikia kuwa huko Misri kuna nafaka. Telemkeni huko mkanunue chakula kwa ajili yetu, ili tuweze kuishi wala tusife.” 3Ndipo wale ndugu kumi wa Yosefu, wakateremka huko Misri kununua nafaka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.