Mwanzo 40:4
Genesis 40:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mkuu wa kikosi cha ulinzi akawakabidhi kwa Yosefu, naye akawahudumia. Walipokuwa wamekaa chini ya ulinzi kwa muda,
Genesis 40:4 in English
Genesis 40:4 · Berean Standard Bible
The captain of the guard assigned them to Joseph, and he became their personal attendant. After they had been in custody for some time,
Context
2Farao akawakasirikia hawa maafisa wake wawili, mnyweshaji mkuu na mwokaji mkuu, 3akawaweka chini ya ulinzi katika nyumba ya mkuu wa kikosi cha ulinzi katika gereza lile lile alimofungwa Yosefu. 4Mkuu wa kikosi cha ulinzi akawakabidhi kwa Yosefu, naye akawahudumia.
Walipokuwa wamekaa chini ya ulinzi kwa muda, 5kila mmoja wa hao wawili waliokuwa wamewekwa gerezani, yaani mnyweshaji na mwokaji wa mfalme wa Misri, waliota ndoto usiku mmoja, na kila ndoto ilikuwa na maana yake tofauti. 6Yosefu alipowajia asubuhi yake, akawaona kwamba walikuwa na huzuni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.