Mwanzo 4:24
Genesis 4:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama Kaini atalipizwa kisasi mara saba, basi Lameki itakuwa mara sabini na saba.”
Genesis 4:24 in English
Genesis 4:24 · Berean Standard Bible
If Cain is avenged sevenfold, then Lamech seventy-sevenfold.”*
Context
22Pia Sila alikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa Tubali-Kaini ambaye alifua vifaa vya aina mbalimbali vya shaba na chuma. Naama alikuwa dada wa Tubali-Kaini. 23Lameki akawaambia wake zake,
“Ada na Sila nisikilizeni mimi;
wake wa Lameki sikieni maneno yangu.
Nimemuua mtu kwa kunijeruhi,
kijana mdogo kwa kuniumiza. 24Kama Kaini atalipizwa kisasi mara saba,
basi Lameki itakuwa mara sabini na saba.” 25Adamu akakutana kimwili na mke wake tena, akamzaa mwana, akamwita Sethi, akisema, “Mungu amenijalia mwana mwingine badala ya Abeli, kwa kuwa Kaini alimuua.” 26Naye Sethi akamzaa mwana, akamwita Enoshi.
Wakati huo watu wakaanza kuliitia jina la Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.