Mwanzo 4:26
Genesis 4:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Naye Sethi akamzaa mwana, akamwita Enoshi. Wakati huo watu wakaanza kuliitia jina la Bwana.
Genesis 4:26 in English
Genesis 4:26 · Berean Standard Bible
And to Seth also a son was born, and he called him Enosh. At that time men began to call upon * the name of the LORD.
Context
24Kama Kaini atalipizwa kisasi mara saba,
basi Lameki itakuwa mara sabini na saba.” 25Adamu akakutana kimwili na mke wake tena, akamzaa mwana, akamwita Sethi, akisema, “Mungu amenijalia mwana mwingine badala ya Abeli, kwa kuwa Kaini alimuua.” 26Naye Sethi akamzaa mwana, akamwita Enoshi.
Wakati huo watu wakaanza kuliitia jina la Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.