Native Bible

Genesis 36:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ada akamzalia Esau Elifazi, Basemathi akamzaa Reueli,

Genesis 36:4 in English

Genesis 36:4 · Berean Standard Bible

And Adah bore Eliphaz to Esau, Basemath gave birth to Reuel,

Context

2Esau akaoa wake kutoka miongoni mwa wanawake wa Kanaani: Ada binti wa Eloni Mhiti, Oholibama binti wa Ana, mjukuu wa kike wa Sibeoni Mhivi, 3pia akaoa Basemathi binti wa Ishmaeli, dada yake Nebayothi. 4Ada akamzalia Esau Elifazi, Basemathi akamzaa Reueli, 5Oholibama akamzaa Yeushi, Yalamu na Kora. Hawa ndio wana wa Esau waliozaliwa kwake huko Kanaani. 6Esau akawachukua wake zake, watoto wake wa kiume na wa kike na wote wa nyumbani mwake, mifugo yake pamoja na wanyama wake wengine wote na mali yake yote ambayo alikuwa ameipata akiwa Kanaani, akahamia katika nchi iliyo mbali na Yakobo ndugu yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.