Native Bible

Genesis 36:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Esau akaoa wake kutoka miongoni mwa wanawake wa Kanaani: Ada binti wa Eloni Mhiti, Oholibama binti wa Ana, mjukuu wa kike wa Sibeoni Mhivi,

Genesis 36:2 in English

Genesis 36:2 · Berean Standard Bible

Esau took his wives from the daughters of Canaan: Adah daughter of Elon the Hittite, Oholibamah daughter of Anah and granddaughter of Zibeon the Hivite,

Context

1Hivi ndivyo vizazi vya Esau (yaani Edomu). 2Esau akaoa wake kutoka miongoni mwa wanawake wa Kanaani: Ada binti wa Eloni Mhiti, Oholibama binti wa Ana, mjukuu wa kike wa Sibeoni Mhivi, 3pia akaoa Basemathi binti wa Ishmaeli, dada yake Nebayothi. 4Ada akamzalia Esau Elifazi, Basemathi akamzaa Reueli,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.