Mwanzo 35:21
Genesis 35:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Israeli akaendelea tena na safari yake na kupiga hema mbele mnara wa Ederi.
Genesis 35:21 in English
Genesis 35:21 · Berean Standard Bible
Israel again set out and pitched his tent beyond the Tower of Eder.
Context
19Kwa hiyo Raheli akafa, akazikwa kando ya njia iendayo Efrathi (ndio Bethlehemu). 20Juu ya kaburi lake, Yakobo akasimamisha nguzo, ambayo mpaka leo inatambulisha kaburi la Raheli. 21Israeli akaendelea tena na safari yake na kupiga hema mbele mnara wa Ederi. 22Wakati Israeli alipokuwa akiishi katika nchi ile, Reubeni mwanawe alikutana kimwili na suria wa baba yake aitwaye Bilha, naye Israeli akasikia jambo hili.
Yakobo alikuwa na wana kumi na wawili: 23Wana wa Lea walikuwa:
Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo,
Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari na Zabuloni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.