Mwanzo 35:19
Genesis 35:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo Raheli akafa, akazikwa kando ya njia iendayo Efrathi (ndio Bethlehemu).
Genesis 35:19 in English
Genesis 35:19 · Berean Standard Bible
So Rachel died and was buried on the way to Ephrath (that is, Bethlehem).
Context
17Alipokuwa katika shida hii katika kujifungua, mkunga akamwambia, “Usiogope, kwa sababu umempata mwana mwingine.” 18Hapo alipopumua pumzi yake ya mwisho, kwa maana alikuwa akifa, akamwita mwanawe Benoni.* Lakini babaye akamwita Benyamini.* 19Kwa hiyo Raheli akafa, akazikwa kando ya njia iendayo Efrathi (ndio Bethlehemu). 20Juu ya kaburi lake, Yakobo akasimamisha nguzo, ambayo mpaka leo inatambulisha kaburi la Raheli. 21Israeli akaendelea tena na safari yake na kupiga hema mbele mnara wa Ederi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.