Native Bible

Genesis 34:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Moyo wake ukavutwa sana kwa Dina binti Yakobo, akampenda huyu msichana na akazungumza naye kwa kumbembeleza.

Genesis 34:3 in English

Genesis 34:3 · Berean Standard Bible

And his soul was drawn to Dinah, the daughter of Jacob. He loved the young girl and spoke to her tenderly.

Context

1Basi Dina, binti wa Yakobo aliyezaliwa na Lea, akatoka nje kuwatembelea wanawake wa nchi ile. 2Ikawa Shekemu mwana wa Hamori Mhivi, mtawala wa eneo lile alipomwona, akamchukua na kumnajisi. 3Moyo wake ukavutwa sana kwa Dina binti Yakobo, akampenda huyu msichana na akazungumza naye kwa kumbembeleza. 4Shekemu akamwambia baba yake Hamori, “Nipatie msichana huyu awe mke wangu.” 5Yakobo aliposikia kwamba binti yake Dina amenajisiwa, wanawe walikuwa mashambani wakichunga mifugo yake, kwa hiyo akalinyamazia jambo hilo mpaka waliporudi nyumbani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.