Mwanzo 34:2
Genesis 34:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ikawa Shekemu mwana wa Hamori Mhivi, mtawala wa eneo lile alipomwona, akamchukua na kumnajisi.
Genesis 34:2 in English
Genesis 34:2 · Berean Standard Bible
When Shechem son of Hamor the Hivite, the prince of the region, saw her, he took her and lay with her by force.
Context
1Basi Dina, binti wa Yakobo aliyezaliwa na Lea, akatoka nje kuwatembelea wanawake wa nchi ile. 2Ikawa Shekemu mwana wa Hamori Mhivi, mtawala wa eneo lile alipomwona, akamchukua na kumnajisi. 3Moyo wake ukavutwa sana kwa Dina binti Yakobo, akampenda huyu msichana na akazungumza naye kwa kumbembeleza. 4Shekemu akamwambia baba yake Hamori, “Nipatie msichana huyu awe mke wangu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.