Mwanzo 33:4
Genesis 33:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini Esau akamkimbilia Yakobo kumlaki na kumkumbatia, akamwangukia shingoni na kumbusu. Nao wakalia.
Genesis 33:4 in English
Genesis 33:4 · Berean Standard Bible
Esau, however, ran to him and embraced him, threw his arms around his neck, and kissed him. And they both wept.
Context
2Akawaweka wale watumishi wa kike na watoto wao mbele, Lea na watoto wake wakafuata, Raheli na Yosefu wakaja nyuma. 3Yeye mwenyewe akatangulia mbele na kusujudu mara saba alipomkaribia ndugu yake. 4Lakini Esau akamkimbilia Yakobo kumlaki na kumkumbatia, akamwangukia shingoni na kumbusu. Nao wakalia. 5Esau akainua macho akawaona wale wanawake na watoto. Akauliza, “Hawa uliofuatana nao ni nani?”
Yakobo akamjibu, “Ni watoto ambao Mungu amempa mtumishi wako kwa neema.” 6Kisha wale watumishi wa kike na watoto wao wakakaribia na kusujudu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.