Native Bible

Genesis 33:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pale akajenga madhabahu na kupaita El-Elohe-Israeli.*

Genesis 33:20 in English

Genesis 33:20 · Berean Standard Bible

There he set up an altar and called it El-Elohe-Israel.*

Context

18Baada ya Yakobo kutoka Padan-Aramu, alifika salama katika mji wa Shekemu huko Kanaani na kuweka kambi yake karibu na mji. 19Akanunua kiwanja kutoka kwa wana wa Hamori, baba wa Shekemu, kwa bei ya vipande mia vya fedha, ambapo alipiga hema lake. 20Pale akajenga madhabahu na kupaita El-Elohe-Israeli.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.