Mwanzo 31:21
Genesis 31:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo akakimbia pamoja na vitu vyote alivyokuwa navyo na kuvuka Mto Frati akaelekea nchi ya vilima katika Gileadi.
Genesis 31:21 in English
Genesis 31:21 · Berean Standard Bible
So he fled with all his possessions, crossed the Euphrates,* and headed for the hill country of Gilead.
Context
19Labani alipokuwa amekwenda kukata kondoo wake manyoya, Raheli aliiba miungu ya nyumba ya baba yake. 20Zaidi ya hayo, Yakobo alimdanganya Labani Mwaramu kwa kutokumwambia kwamba anakimbia. 21Hivyo akakimbia pamoja na vitu vyote alivyokuwa navyo na kuvuka Mto Frati akaelekea nchi ya vilima katika Gileadi. 22Siku ya tatu Labani akaambiwa kwamba Yakobo amekimbia. 23Akiwachukua jamaa zake, akamfuatia Yakobo kwa siku saba na kumkuta kwenye nchi ya vilima katika Gileadi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.