Mwanzo 27:16
Genesis 27:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pia akamfunika mikononi na sehemu laini ya shingo kwa ngozi za mbuzi.
Genesis 27:16 in English
Genesis 27:16 · Berean Standard Bible
She also put the skins of the young goats on his hands and on the smooth part of his neck.
Context
14Kwa hiyo alikwenda akawaleta, akampa mama yake, akaandaa chakula kitamu, kama vile alivyopenda baba yake. 15Kisha Rebeka akachukua nguo nzuri za Esau mwanawe wa kwanza, alizokuwa nazo nyumbani, akamvika Yakobo mwanawe mdogo. 16Pia akamfunika mikononi na sehemu laini ya shingo kwa ngozi za mbuzi. 17Hatimaye akampa Yakobo hicho chakula kitamu pamoja na mkate aliouoka. 18Akamwendea baba yake akasema, “Baba yangu.”
Akajibu, “Naam, mwanangu, wewe ni nani?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.