Native Bible

Genesis 26:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi Isaki akatoka huko akajenga kambi katika Bonde la Gerari, akaishi huko.

Genesis 26:17 in English

Genesis 26:17 · Berean Standard Bible

So Isaac left that place and encamped in the Valley of Gerar and settled there.

Context

15Kwa hiyo visima vyote vilivyochimbwa na watumishi wakati wa Abrahamu baba yake, Wafilisti wakavifukia, wakavijaza udongo. 16Ndipo Abimeleki akamwambia Isaki, “Ondoka kwetu, kwa maana umetuzidi nguvu sana.” 17Basi Isaki akatoka huko akajenga kambi katika Bonde la Gerari, akaishi huko. 18Ndipo Isaki akavichimbua tena vile visima vya maji ambavyo vilichimbwa siku zile za Abrahamu baba yake, ambavyo Wafilisti walivifukia baada ya kufa Abrahamu, akavipa majina yale yale ambayo baba yake alikuwa amevipa. 19Watumishi wa Isaki wakachimba katika lile bonde wakagundua huko kisima chenye maji safi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.