Mwanzo 26:15
Genesis 26:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo visima vyote vilivyochimbwa na watumishi wakati wa Abrahamu baba yake, Wafilisti wakavifukia, wakavijaza udongo.
Genesis 26:15 in English
Genesis 26:15 · Berean Standard Bible
So the Philistines took dirt and stopped up all the wells that his father’s servants had dug in the days of his father Abraham.
Context
13Isaki akawa tajiri, mali zake zikaendelea kuongezeka mpaka akawa tajiri sana. 14Akawa na mifugo ya kondoo na ngʼombe, na watumishi wengi sana, kiasi kwamba Wafilisti wakamwonea wivu. 15Kwa hiyo visima vyote vilivyochimbwa na watumishi wakati wa Abrahamu baba yake, Wafilisti wakavifukia, wakavijaza udongo. 16Ndipo Abimeleki akamwambia Isaki, “Ondoka kwetu, kwa maana umetuzidi nguvu sana.” 17Basi Isaki akatoka huko akajenga kambi katika Bonde la Gerari, akaishi huko.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.