Native Bible

Genesis 26:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Isaki akawa tajiri, mali zake zikaendelea kuongezeka mpaka akawa tajiri sana.

Genesis 26:13 in English

Genesis 26:13 · Berean Standard Bible

and he became richer and richer, until he was exceedingly wealthy.

Context

11Hivyo Abimeleki akatoa amri kwa watu wote, akisema, “Yeyote atakayemnyanyasa mtu huyu au mkewe hakika atauawa.” 12Isaki akapanda mazao katika nchi hiyo, kwa mwaka huo huo, akavuna mara mia, kwa sababu Bwana alimbariki. 13Isaki akawa tajiri, mali zake zikaendelea kuongezeka mpaka akawa tajiri sana. 14Akawa na mifugo ya kondoo na ngʼombe, na watumishi wengi sana, kiasi kwamba Wafilisti wakamwonea wivu. 15Kwa hiyo visima vyote vilivyochimbwa na watumishi wakati wa Abrahamu baba yake, Wafilisti wakavifukia, wakavijaza udongo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.