Native Bible

Genesis 26:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Isaki akapanda mazao katika nchi hiyo, kwa mwaka huo huo, akavuna mara mia, kwa sababu Bwana alimbariki.

Genesis 26:12 in English

Genesis 26:12 · Berean Standard Bible

Now Isaac sowed seed in the land, and that very year he reaped a hundredfold. And the LORD blessed him,

Context

10Ndipo Abimeleki akamjibu, “Ni nini hiki ulichotufanyia? Ingewezekana mtu yeyote akawa amekutana kimwili na mke wako, nawe ungeleta hatia juu yetu.” 11Hivyo Abimeleki akatoa amri kwa watu wote, akisema, “Yeyote atakayemnyanyasa mtu huyu au mkewe hakika atauawa.” 12Isaki akapanda mazao katika nchi hiyo, kwa mwaka huo huo, akavuna mara mia, kwa sababu Bwana alimbariki. 13Isaki akawa tajiri, mali zake zikaendelea kuongezeka mpaka akawa tajiri sana. 14Akawa na mifugo ya kondoo na ngʼombe, na watumishi wengi sana, kiasi kwamba Wafilisti wakamwonea wivu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.