Mwanzo 25:7
Genesis 25:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa jumla, Abrahamu aliishi miaka 175.
Genesis 25:7 in English
Genesis 25:7 · Berean Standard Bible
Abraham lived a total of 175 years.
Context
5Abrahamu akamwachia Isaki kila kitu alichokuwa nacho. 6Lakini Abrahamu alipokuwa bado hai, akawapa watoto wa masuria wake zawadi, kisha akawaondoa waende kuishi pande za mashariki mbali na mwanawe Isaki. 7Kwa jumla, Abrahamu aliishi miaka 175. 8Ndipo Abrahamu akapumua pumzi ya mwisho na akafa akiwa mwenye umri mzuri, mzee aliyeshiba siku, naye akakusanywa pamoja na watu wake. 9Watoto wake Isaki na Ishmaeli wakamzika katika pango la Makpela karibu na Mamre, katika shamba lililokuwa la Efroni mwana wa Sohari Mhiti,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.