Native Bible

Genesis 25:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Abrahamu akamwachia Isaki kila kitu alichokuwa nacho.

Genesis 25:5 in English

Genesis 25:5 · Berean Standard Bible

Abraham left everything he owned to Isaac.

Context

3Yokshani alikuwa baba wa Sheba na Dedani, wazao wa Dedani walikuwa Waashuri, Waletushi na Waleumi. 4Wana wa Midiani walikuwa Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa. Hawa wote walikuwa uzao wa Ketura. 5Abrahamu akamwachia Isaki kila kitu alichokuwa nacho. 6Lakini Abrahamu alipokuwa bado hai, akawapa watoto wa masuria wake zawadi, kisha akawaondoa waende kuishi pande za mashariki mbali na mwanawe Isaki. 7Kwa jumla, Abrahamu aliishi miaka 175.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.