Native Bible

Genesis 25:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yokshani alikuwa baba wa Sheba na Dedani, wazao wa Dedani walikuwa Waashuri, Waletushi na Waleumi.

Genesis 25:3 in English

Genesis 25:3 · Berean Standard Bible

Jokshan was the father of Sheba and Dedan. And the sons of Dedan were the Asshurites, the Letushites, and the Leummites.

Context

1Abrahamu alioa mke mwingine, ambaye jina lake aliitwa Ketura. 2Huyu alimzalia Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. 3Yokshani alikuwa baba wa Sheba na Dedani, wazao wa Dedani walikuwa Waashuri, Waletushi na Waleumi. 4Wana wa Midiani walikuwa Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa. Hawa wote walikuwa uzao wa Ketura. 5Abrahamu akamwachia Isaki kila kitu alichokuwa nacho.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.