Native Bible

Genesis 25:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Abrahamu alioa mke mwingine, ambaye jina lake aliitwa Ketura.

Genesis 25:1 in English

Genesis 25:1 · Berean Standard Bible

Now Abraham had taken another wife, named Keturah,

Context

1Abrahamu alioa mke mwingine, ambaye jina lake aliitwa Ketura. 2Huyu alimzalia Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. 3Yokshani alikuwa baba wa Sheba na Dedani, wazao wa Dedani walikuwa Waashuri, Waletushi na Waleumi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.