Mwanzo 25:33
Genesis 25:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yakobo akamwambia, “Niapie kwanza.” Hivyo Esau akamwapia, akamuuzia Yakobo haki yake ya kuzaliwa.
Genesis 25:33 in English
Genesis 25:33 · Berean Standard Bible
“Swear to me first,” Jacob said. So Esau swore to Jacob and sold him the birthright.
Context
31Yakobo akamjibu, “Niuzie kwanza haki yako ya mzaliwa wa kwanza.” 32Esau akasema, “Tazama, mimi niko karibu ya kufa, itanifaa nini haki ya mzaliwa wa kwanza?” 33Yakobo akamwambia, “Niapie kwanza.” Hivyo Esau akamwapia, akamuuzia Yakobo haki yake ya kuzaliwa. 34Ndipo Yakobo akampa Esau mkate na ule mchuzi wa dengu. Akala na kunywa, kisha akainuka akaenda zake.
Kwa hiyo Esau alidharau haki yake ya mzaliwa wa kwanza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.