Native Bible

Genesis 24:64 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Rebeka pia akainua macho akamwona Isaki. Akashuka kutoka kwenye ngamia wake

Genesis 24:64 in English

Genesis 24:64 · Berean Standard Bible

And when Rebekah looked up and saw Isaac, she got down from her camel

Context

62Basi Isaki alikuwa ametoka Beer-Lahai-Roi, kwa kuwa alikuwa anaishi nchi ya Negebu. 63Isaki akatoka kwenda shambani kutafakari wakati wa jioni, alipoinua macho yake, akaona ngamia wanakuja. 64Rebeka pia akainua macho akamwona Isaki. Akashuka kutoka kwenye ngamia wake 65na akamuuliza yule mtumishi, “Ni nani mtu yule aliye kule shambani anayekuja kutulaki?” Yule mtumishi akajibu, “Huyu ndiye bwana wangu.” Hivyo Rebeka akachukua shela yake akajifunika. 66Kisha yule mtumishi akamweleza Isaki mambo yote aliyoyatenda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.