Native Bible

Genesis 24:66 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha yule mtumishi akamweleza Isaki mambo yote aliyoyatenda.

Genesis 24:66 in English

Genesis 24:66 · Berean Standard Bible

Then the servant told Isaac all that he had done.

Context

64Rebeka pia akainua macho akamwona Isaki. Akashuka kutoka kwenye ngamia wake 65na akamuuliza yule mtumishi, “Ni nani mtu yule aliye kule shambani anayekuja kutulaki?” Yule mtumishi akajibu, “Huyu ndiye bwana wangu.” Hivyo Rebeka akachukua shela yake akajifunika. 66Kisha yule mtumishi akamweleza Isaki mambo yote aliyoyatenda. 67Ndipo Isaki akamwingiza Rebeka katika hema la Sara mama yake, Isaki akamchukua Rebeka, hivyo akawa mke wake. Isaki akampenda, akafarijika baada ya kifo cha mama yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.