Mwanzo 24:62
Genesis 24:62 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi Isaki alikuwa ametoka Beer-Lahai-Roi, kwa kuwa alikuwa anaishi nchi ya Negebu.
Genesis 24:62 in English
Genesis 24:62 · Berean Standard Bible
Now Isaac had just returned from Beer-lahai-roi, for he was living in the Negev.
Context
60Wakambariki Rebeka, wakamwambia,
“Ndugu yetu, uwe wewe kumi elfu,
mara elfu nyingi,
nao wazao wako wamiliki
malango ya adui zao.” 61Rebeka na vijakazi wake wakajiandaa, wakapanda ngamia zao wakafuatana na yule mtu. Hivyo yule mtumishi akamchukua Rebeka akaondoka. 62Basi Isaki alikuwa ametoka Beer-Lahai-Roi, kwa kuwa alikuwa anaishi nchi ya Negebu. 63Isaki akatoka kwenda shambani kutafakari wakati wa jioni, alipoinua macho yake, akaona ngamia wanakuja. 64Rebeka pia akainua macho akamwona Isaki. Akashuka kutoka kwenye ngamia wake
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.