Native Bible

Genesis 24:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yule mtumishi akasujudu na kumwabudu Bwana,

Genesis 24:26 in English

Genesis 24:26 · Berean Standard Bible

Then the man bowed down and worshiped the LORD,

Context

24Yule msichana akamjibu, “Mimi ni binti wa Bethueli, mwana wa Milka aliyemzalia Nahori.” 25Akaendelea kusema, “Kwetu kuna majani mengi na malisho, tena kuna nafasi kwa ajili yenu kulala.” 26Yule mtumishi akasujudu na kumwabudu Bwana, 27akisema, “Atukuzwe Bwana, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, ambaye hakuondoa wema na uaminifu wake kwa bwana wangu. Mimi nami, Bwana ameniongoza safarini akanifikisha nyumbani kwa jamaa za bwana wangu.” 28Yule msichana akakimbia akawaeleza watu wa nyumbani mwa mama yake kuhusu mambo haya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.