Native Bible

Genesis 23:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Abrahamu akasujudu tena, mbele ya wenyeji wa nchi,

Genesis 23:12 in English

Genesis 23:12 · Berean Standard Bible

Again Abraham bowed down before the people of the land

Context

10Efroni Mhiti alikuwa ameketi miongoni mwa watu wake, akamjibu Abrahamu mbele ya Wahiti wote waliokuwepo katika lango la mji. 11“La hasha, bwana wangu, nisikilize, nakupa shamba, pia nakupa pango lililomo ndani yake. Nakupa mbele ya watu wangu. Uzike maiti wako.” 12Abrahamu akasujudu tena, mbele ya wenyeji wa nchi, 13akamwambia Efroni wale watu wakiwa wanasikia, “Tafadhali nisikilize. Nitakulipa fedha za hilo shamba. Kubali kuzipokea ili niweze kumzika maiti wangu.” 14Efroni akamjibu Abrahamu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.