Native Bible

Genesis 23:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

akamwambia Efroni wale watu wakiwa wanasikia, “Tafadhali nisikilize. Nitakulipa fedha za hilo shamba. Kubali kuzipokea ili niweze kumzika maiti wangu.”

Genesis 23:13 in English

Genesis 23:13 · Berean Standard Bible

and said to Ephron in their presence, “If you will please listen to me, I will pay you the price of the field. Accept it from me, so that I may bury my dead there.”

Context

11“La hasha, bwana wangu, nisikilize, nakupa shamba, pia nakupa pango lililomo ndani yake. Nakupa mbele ya watu wangu. Uzike maiti wako.” 12Abrahamu akasujudu tena, mbele ya wenyeji wa nchi, 13akamwambia Efroni wale watu wakiwa wanasikia, “Tafadhali nisikilize. Nitakulipa fedha za hilo shamba. Kubali kuzipokea ili niweze kumzika maiti wangu.” 14Efroni akamjibu Abrahamu, 15“Nisikilize, bwana wangu, thamani ya ardhi hiyo ni shekeli 400 za fedha,* lakini hiyo ni nini kati yako na mimi? Mzike maiti wako.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.