Native Bible

Genesis 17:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kila mwanaume nyumbani mwa Abrahamu, pamoja na wote waliozaliwa nyumbani mwake au aliyenunuliwa kwa fedha kutoka kwa mgeni, alitahiriwa pamoja naye.

Genesis 17:27 in English

Genesis 17:27 · Berean Standard Bible

And all the men of Abraham’s household—both servants born in his household and those purchased from foreigners—were circumcised with him.

Context

25naye Ishmaeli mwanawe alitahiriwa akiwa na umri wa miaka kumi na mitatu. 26Abrahamu na Ishmaeli mwanawe walitahiriwa siku ile ile, 27Kila mwanaume nyumbani mwa Abrahamu, pamoja na wote waliozaliwa nyumbani mwake au aliyenunuliwa kwa fedha kutoka kwa mgeni, alitahiriwa pamoja naye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.