Mwanzo 17:26
Genesis 17:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Abrahamu na Ishmaeli mwanawe walitahiriwa siku ile ile,
Genesis 17:26 in English
Genesis 17:26 · Berean Standard Bible
Abraham and his son Ishmael were circumcised on the same day.
Context
24Abrahamu alikuwa na umri wa miaka tisini na tisa alipotahiriwa, 25naye Ishmaeli mwanawe alitahiriwa akiwa na umri wa miaka kumi na mitatu. 26Abrahamu na Ishmaeli mwanawe walitahiriwa siku ile ile, 27Kila mwanaume nyumbani mwa Abrahamu, pamoja na wote waliozaliwa nyumbani mwake au aliyenunuliwa kwa fedha kutoka kwa mgeni, alitahiriwa pamoja naye.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.