Mwanzo 17:24
Genesis 17:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Abrahamu alikuwa na umri wa miaka tisini na tisa alipotahiriwa,
Genesis 17:24 in English
Genesis 17:24 · Berean Standard Bible
So Abraham was ninety-nine years old when he was circumcised,
Context
22Wakati alipomaliza kuzungumza na Abrahamu, Mungu akapanda juu akaondoka kwa Abrahamu. 23Siku ile ile, Abrahamu akamchukua Ishmaeli mwanawe na wote waliozaliwa nyumbani mwake pamoja na walionunuliwa kwa fedha zake, kila mwanaume wa nyumbani mwake, akawatahiri, kama Mungu alivyomwagiza. 24Abrahamu alikuwa na umri wa miaka tisini na tisa alipotahiriwa, 25naye Ishmaeli mwanawe alitahiriwa akiwa na umri wa miaka kumi na mitatu. 26Abrahamu na Ishmaeli mwanawe walitahiriwa siku ile ile,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.