Native Bible

Genesis 13:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini nchi haikuwatosha kukaa pamoja kwa ajili ya wingi wa mali zao.

Genesis 13:6 in English

Genesis 13:6 · Berean Standard Bible

But the land was unable to support both of them while they stayed together, for they had so many possessions that they were unable to coexist.

Context

4hapo ambapo alikuwa amejenga madhabahu ya kwanza. Huko Abramu akaliitia jina la Bwana. 5Basi Loti, ambaye alikuwa anafuatana na Abramu, alikuwa pia na makundi ya mbuzi, kondoo, ngʼombe na mahema. 6Lakini nchi haikuwatosha kukaa pamoja kwa ajili ya wingi wa mali zao. 7Ukazuka ugomvi kati ya wachunga mifugo wa Abramu na wale wa Loti. Wakati huo, Wakanaani na Waperizi ndio waliokuwa wenyeji wa nchi hiyo. 8Hivyo Abramu akamwambia Loti, “Pasiwe na ugomvi wowote kati yangu na wewe, wala kati ya wachungaji wangu na wako, kwa kuwa sisi ni ndugu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.